الشرح
The Relief • 8 ayahs • Meccan
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1Hatukukunjulia kifua chako?
2Na tukakuondolea mzigo wako.
3Uliovunja mgongo wako?
4Na tukakunyanyulia utajo wako?
5Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi.
6Hakika pamoja na uzito upo wepesi.
7Na ukipata faragha, fanya juhudi.
8Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie.