At-Tin

التين

The Fig8 ayahsMeccan

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَٱلتِّينِ وَٱلزَّيۡتُونِ﴿١

1Ninaapa kwa tini na zaituni!

وَطُورِ سِينِينَ﴿٢

2Na kwa Mlima wa Sinai!

وَهَٰذَا ٱلۡبَلَدِ ٱلۡأَمِينِ﴿٣

3Na kwa Mji huu wenye amani mno!

لَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ فِيٓ أَحۡسَنِ تَقۡوِيمٖ﴿٤

4Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.

ثُمَّ رَدَدۡنَٰهُ أَسۡفَلَ سَٰفِلِينَ﴿٥

5Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini!

إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَلَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونٖ﴿٦

6Isipokuwa wale walioamini na wakatenda mema, hao watapata ujira usiokwisha.

فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعۡدُ بِٱلدِّينِ﴿٧

7Basi ni kipi baadaye kitakachokukukadhibishia malipo?

أَلَيۡسَ ٱللَّهُ بِأَحۡكَمِ ٱلۡحَٰكِمِينَ﴿٨

8Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu zaidi kuliko wote wanaohukumu?

RELATED SURAHS