Al-Masad

المسد

The Palm Fiber5 ayahsMeccan

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

تَبَّتۡ يَدَآ أَبِي لَهَبٖ وَتَبَّ﴿١

1Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.

مَآ أَغۡنَىٰ عَنۡهُ مَالُهُۥ وَمَا كَسَبَ﴿٢

2Haitamfaa mali yake, wala alivyovichuma.

سَيَصۡلَىٰ نَارٗا ذَاتَ لَهَبٖ﴿٣

3Atauingia Moto wenye mwako mkali.

وَٱمۡرَأَتُهُۥ حَمَّالَةَ ٱلۡحَطَبِ﴿٤

4Na mkewe, mchukuzi mkubwa wa kuni.

فِي جِيدِهَا حَبۡلٞ مِّن مَّسَدِۭ﴿٥

5Shingoni mwake iko kamba iliyosokotwa sawasawa.

RELATED SURAHS