الإخلاص
The Sincerity • 4 ayahs • Meccan
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa Pekee.
2Mwenyezi Mungu ndiye Mkusudiwa.
3Hakuzaa wala hakuzaliwa.
4Wala hana anayelingana naye hata mmoja.
Al-Fatiha
The Opening
Al-An'am
The Cattle
Ar-Ra'd
The Thunder
Ya-Sin