قريش
Quraysh • 4 ayahs • Meccan
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1Kwa walivyozoea Maqureshi.
2Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.
3Basi na wamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii.
4Ambaye anawalisha kutokana na njaa, na anawalinda kutokana na hofu.