الماعون
The Small Kindnesses • 7 ayahs • Meccan
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1Je, umemwona anayekadhibisha Malipo?
2Basi huyo ndiye anayemsukuma yatima.
3Wala hahimizi kumlisha masikini.
4Basi, ole wao wanaoswali.
5Ambao wanapuuza Swala zao.
6Ambao wanajionyesha.
7Na wanazuia msaada.