Al-Fil

الفيل

The Elephant5 ayahsMeccan

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

أَلَمۡ تَرَ كَيۡفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصۡحَٰبِ ٱلۡفِيلِ﴿١

1Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyowafanya wale wenye tembo?

أَلَمۡ يَجۡعَلۡ كَيۡدَهُمۡ فِي تَضۡلِيلٖ﴿٢

2Kwani hakufanya vitimbi vyao kuharibika?

وَأَرۡسَلَ عَلَيۡهِمۡ طَيۡرًا أَبَابِيلَ﴿٣

3Na akawatumia ndege makundi kwa makundi.

تَرۡمِيهِم بِحِجَارَةٖ مِّن سِجِّيلٖ﴿٤

4Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni.

فَجَعَلَهُمۡ كَعَصۡفٖ مَّأۡكُولِۭ﴿٥

5Akawafanya kama majani yaliyoliwa!

RELATED SURAHS