العصر
The Declining Day • 3 ayahs • Meccan
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1Ninaapa kwa Zama!
2Hakika binadamu bila ya shaka yuko katika hasara.
3Ila wale walioamini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.
Yusuf
Joseph
Al-Mu'minun
The Believers
Al-Fatiha
The Opening
Ya-Sin