الناس
Mankind • 6 ayahs • Meccan
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa watu.
2Mfalme wa watu.
3Mungu wa watu.
4Kutokana na uovu wa Shetani mtia wasiwasi, ajifichaye mno (Al-Khannaas).
5Anayetia wasiwasi katika vifua vya watu.
6Kutokana na majini na watu.